
UNBEATEN YANGA Ni Yanga pekee ndio haijapoteza mchezo wowote tangu kuanza kwa msimu wa VPL 2020/21. Vilabu vingine vyote tayar…
UNBEATEN YANGA
Ni Yanga pekee ndio haijapoteza mchezo wowote tangu kuanza kwa msimu wa VPL 2020/21.
Vilabu vingine vyote tayari vimeshaonja joto la kupoteza mechi za ligi msimu huu huku vingine kupoteza imeshakuwa jambo ambalo halishangazi.
Yanga imeshacheza mechi nane hadi sasa, imeshinda saba na kutoka sare mechi moja. Ina pointi 22, imefunga magoli 11 na kurusuhu magoli mawili tu!
,
Comments (0)