Posted By Posted On

ARSENAL YAIKANDAMIZA MANCHESTER UNITED 1-0 PALE PALE OLD TRAFFORD


Nahodha Pierre-Emerick Aubameyang akishangilia baada ya kuifungia Arsenal bao pekee kwa penalti dakika ya 69 kufuatia Paul Pogba kumchezea rafu Hector Bellerin katika ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Manchester United kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Old Trafford
 PICHA ZAIDI GONGA HAPA

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *