Kagere, Mugalu washtua
HII huenda ni taarifa mbaya kwa mashabiki wa Simba, lakini ni nzuri kwa wenzao wa Yanga baada ya kufichua kuwa, washambuliaji hatari wa Simba, Meddie Kagere na Chriss Mugalu sambamba na kiungo, Gerson Fraga huenda wakalikosa pambano la derby kati yao na Yanga litakalopigwa Jumamosi hii.,Read More
Comments (0)