Posted By Posted On

Klabu ya Bayern Munchen na beki David Alaba wameshindwa kufikia makubaliano ya kusaini mkataba mpya. Mkataba wa Alaba 28 unafi…

Klabu ya Bayern Munchen na beki David Alaba wameshindwa kufikia makubaliano ya kusaini mkataba mpya.

Mkataba wa Alaba 28 unafikia tamati 30 Juni, 2021 na mwishoni mwa msimu huu hivyo msimu ujao atakuwa mchezaji huru.

(Source : Sky Sports)

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *