Posted By Posted On

Klabu ya Simba inahusishwa kutaka kumsajili winga wa UD Songo ya nchini Msumbiji Pachoio Lau Ha King ‘Lau King’ amekubali ku…

Klabu ya Simba inahusishwa kutaka kumsajili winga wa UD Songo ya nchini Msumbiji Pachoio Lau Ha King

‘Lau King’ amekubali kusaini mkataba wa kuichezea Simba kwenye usajili wa dirisha dogo msimu huu.

Nyota huyo ni kati ya wachezaji wanaotajwa kuwa kwenye mipango ya kusajiliwa na Simba katika usajili wa dirisha dogo litakalofunguliwa mapema Novemba, mwaka huu.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *