Posted By Posted On

Mjumbe wa zamani wa kamati ya Utendaji ya klabu ya Simba SC Saidi Tully amepuuza madai yaliyoelezwa na Zakaria Hans Pope kuwa ye…

Mjumbe wa zamani wa kamati ya Utendaji ya klabu ya Simba SC Saidi Tully amepuuza madai yaliyoelezwa na Zakaria Hans Pope kuwa yeye anaihujumu klabu hiyo ili isipate Ushindi,amesema kuwa yeye siyo Kiongozi wa Simba na urafiki wake na Saidi Hersi (Mwemyekiti wa kamati ya mashindano ya klabu ya Yanga) utaendelea,hataacha urafiki huo eti kwa sababu ya Simba.
Amehoji Simba isipoteze Mchezo imesajili Wachezaji wenye miguu mitatu..???

Source efm Tanzania.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *