Posted By Posted On

Mjumbe wa zamani wa kamati ya Utendaji ya Simba Saidi Tully ameingia katika orodha ya watu wanaotuhumiwa kuihujumu klabu ya Simb…

Mjumbe wa zamani wa kamati ya Utendaji ya Simba Saidi Tully ameingia katika orodha ya watu wanaotuhumiwa kuihujumu klabu ya Simba,kufuatia matokeo mabaya iliyoyapata hivi karibuni,Tully anadaiwa kuwa ni rafiki wa karibu wa Mwenyekiti wa kamati ya Mashindano ya klabu ya Yanga Engineer Saidi Hersi.

Source: efm Tanzania.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *