Posted By Posted On

MWANZA MMETOBOA. . “Hayakuhusu Kama Rah P, nakuja zaidi ya Sister P sijachuja, sijavuja niite Mwanza Mwanza” . Mistari adhimu ka…

MWANZA MMETOBOA.
.
“Hayakuhusu Kama Rah P, nakuja zaidi ya Sister P sijachuja, sijavuja niite Mwanza Mwanza”
.
Mistari adhimu katika moja ya Ngoma za kulitangaza jiji la Mwanza kutoka kwa mkali Farid Kubanda (@realfidq) na sasa ni Wasafi Fm ndani ya Mwanza Mwanza.
.
Kwa mujibu wa Geopoll Wasafi FM ndio radio namba moja kwa sasa nchini Tanzania, kikubwa tumewasha Mwanza Radio namba moja kwa masafa ya 94.5.
.
🎯KIBIASHARA.
.
Mwanza Mmetoboa nawaambia, sasa wana Mwanza kazi kwenu kwani mkombozi wa mteja na mfanyabiashara amefika kanda ya Ziwa. Ni rahisi kwa biashara nyingi kuifikia Mwanza kwa kuwa Chama la wana tayari linakuunganisha na wateja. Wateja nao wanaungana na soko fasta tu kupitia vipindi vikali vya Wasafi.
.
🎯MICHEZO
.
Kipindi chenye nguvu zaidi cha Michezo Tanzania Sports Arena sasa masikioni mwa wadau wa Mwanza na hii itawafanya waweze kujifunza namna ya kuongoza na kukuza sekta ya michezo kwani mijadala mingi ya maendeleo huanzia hapa. Mwanza eeeh salamu ziwafikie.
.
🎯BURUDANI.
.
Radio namba moja ndio yenye umiliki wa Tamasha namba moja Tanzania, sasa ni rahisi zaidi kufuatilia Wasafi Festival na burudani zooote kupitia Wasafi Fm. Mwanza Mmetoboa.
.
Sasa tusemaje..? Mwanza Mmetoboa.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *