Posted By Posted On

Photos from SokaPlace’s post

️Oscar Mwajanga mshambuliaji hatari wa klabu ya @officialmbeyakwanzafc leo ameisaidia klabu yake kupata ushindi katika mchezo wao dhidi ya Kengold katika mwendelezo wa ligi daraja la kwanza

Mbeya kwanza wameibuka naushindi wa goli 2 kwa 0 dhidi ya Kengold iliyochini ya kocha Maka Mwalyisi

Oscar Mwajanga alijiunga na klabu ya Mbeya kwanza akitokea star inayoshiriki ligi daraja la pili Tanzania.

Kilala kheri @oscarmwajanga1
#sokaplaceupdates @fdl_tz

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *