Photos from VIWANJANI LEO’s post
Timu ya Taifa ya Vijana Chini ya Miaka 20 “Ngorongoro Heroes” imeanza mazoezi kujiandaa na michezo ya kirafiki ya Kimataifa dhidi ya Sudan Novemba 8 na Novemba 10 pamoja na maandalizi ya mashindano ya Cecafa. @serengetiboystz @wallacekaria @wilfredkidao @azamtvtz @taifastars_
,
Comments (0)