Posted By Posted On

FT| Gwambina 0-0 Yanga . Yanga wanakwenda kileleni mwa msimamo baada ya michezo tisa. Bado ukuta wake mgumu na karuhusu magoli m…

FT| Gwambina 0-0 Yanga
.
Yanga wanakwenda kileleni mwa msimamo baada ya michezo tisa. Bado ukuta wake mgumu na karuhusu magoli mawili tu huku akiwa na Clean sheet 7.
.
FT| Biashara United 1-1 KMC
.
Biashara anakwenda Juu ya Simba kwa kufikisha alama 17 dhidi ya 16 za simba anayecheza kesho.

#M9Updates

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *