Posted By Posted On

– Hans Pop kiongozi wa klabu ya Simba aliyehusika kumleta beki bora kutoka ligi kuu ya Zambia Lamine Moro ameeleza sababu za Lam…

– Hans Pop kiongozi wa klabu ya Simba aliyehusika kumleta beki bora kutoka ligi kuu ya Zambia Lamine Moro ameeleza sababu za Lamine kutemwa Simba sc.

– Amesema Lamine Moro wakati anatua nchini msimu huo alikuwa beki bora nchini Zambia baada ya kumpeleka kwa kocha wa wakati huo Patrick Aussems akawaambia kuwa wanao mabeki wazuri kama Lamine hivyo haoni sababu ya kumsajili beki huyo mwenye milaba minne, wakaachana nae.

– Hans Pope amekiri kuwa Lamine Moro ni beki bora wa kati nchini na amewasaidia Yanga na ataendelea kuwasaidia anashangazwa ma UCHEBE wakati huo kutomuhitaji Lamine Moro.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *