Posted By Posted On

Klabu ya PSG imethibitisha kuwa nyota wake, Kylian Mbappe ataukosa mchezo wao wa kesho wa UEFA Champions League) dhidi ya Leipzi…

Klabu ya PSG imethibitisha kuwa nyota wake, Kylian Mbappe ataukosa mchezo wao wa kesho wa UEFA Champions League) dhidi ya Leipzig kutokana a majeraha yanayomkabili pia wachezaji wengine muhimu watakaoukosa mchezo huo ni Neymar na Mauro Icardi.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *