Posted By Posted On

Mtendaji Mkuu wa bodi ya ligi Almas Kasongo amesema katika mchezo wa ligi kuu soka Tanzania bara kati ya watani wa jadi Yanga SC…

Mtendaji Mkuu wa bodi ya ligi Almas Kasongo amesema katika mchezo wa ligi kuu soka Tanzania bara kati ya watani wa jadi Yanga SC dhidi ya Simba SC Novemba 7, 2020 watatumika waamuzi 6 kuamua mchezo huo. Mwamuzi wa kati, wawili wa pembeni, Wawili nyuma ya magoli na mwamuzi wa mezani.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *