Posted By Posted On

Raundi ya 10 ya Ligi Kuu ya Vodacom kuanza kushika kasi leo. Leo saa 10:00 Jioni Gwambina FC watakuwa uwanja wa nyumbani kuwaka…

Raundi ya 10 ya Ligi Kuu ya Vodacom kuanza kushika kasi leo.

Leo saa 10:00 Jioni Gwambina FC watakuwa uwanja wa nyumbani kuwakabili wananchi, Yanga SC. Je Gwambina watawasimamisha wananchi ama Wananchi kuendeleza moto wa ushindi? kipute hiki kitachezwa kuanzia saa 10:00 Jioni

Biashara United baada ya kupoteza mchezo uliopita leo kujitafakari kwa KMC ambao wametoka kushinda mchezo uliopita. mechi hii ni kuanzia majira ya saa 10:00 Jioni

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *