Posted By Posted On

Simba,Yanga zina wachezaji wenye miguu mitatu?

Mazoea ya soka la Bongo ni kuona timu za Simba na Yanga zinashinda kila mechi. Mazoea hayo yapo kwa mashabiki, viongozi na baadhi ya wadau wanaoamini kuwa timu hizo hazipaswi kufungwa katika mfululizo wa mechi zake za Ligi Kuu Tanzania Bara. INGEKUWAJE SIMBA WANGEKUWA AL AHLY? Hivi karibuni kiongozi mmoja wa klabu ya Simba alizungumza kwenye redio moja maarufu nchini Tanzania akidai kuwa kwa…

Source

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *