Posted By Posted On

COSAFA imeziondoa timu nne kutoka kwenye Mashindano ya kufuzu AFCON U17 yanayoendelea nchini Afrika Kusini baada ya wachezaji wa…

COSAFA imeziondoa timu nne kutoka kwenye Mashindano ya kufuzu AFCON U17 yanayoendelea nchini Afrika Kusini baada ya wachezaji wao kufeli vipimo vya MRI (walibainika kuwa na umri mkubwa zaidi)

Comoros 🇰🇲
Eswatini 🇸🇿
Zimbabwe 🇿🇼
Botswana 🇧🇼

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *