Posted By Posted On

DODOMA JIJI vs BIASHARA UNITED 📌Katika michezo mitano ya mwisho kuchezwa watoto makao makuu hawajapata ushindi hata mara moja (…

DODOMA JIJI vs BIASHARA UNITED

📌Katika michezo mitano ya mwisho kuchezwa watoto makao makuu hawajapata ushindi hata mara moja (Sare 2 na Kufungwa mara 3), wakati wenzao biashara wameshinda mara 2 wametoka sare mara Moja na wamefungwa mara 2.

📌Biashara United kwenye michezo ya ugenini ameshinda mara moja tu tangu kuanza kwa msimu huu wa Ligi wakati Dodoma Jiji ameshinda mara mbili kwenye uwanja wa nyumbani Msimu huu.

📌Hii ni Game ya kwanza kwenye mashindano kukutanisha timu hizi mbili, Kumbuka tu Dodoma Jiji wapo nafasi ya 11 kwenye msimami huku Biashara wakiwa nafasi ya 4

#M9Updates

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *