Posted By Posted On

-“Katika mchezo wa kesho hakuna cha pira Ice-cream, Strawberry, wala pira mkate KMC itakwenda kuonesha pira spana ,mashabiki waj…

-“Katika mchezo wa kesho hakuna cha pira Ice-cream, Strawberry, wala pira mkate KMC itakwenda kuonesha pira spana ,mashabiki wajitokeze kwa wingi kuisapoti Timu yao, kikosi chetu ni kizuri hivyo Azam waje wakiwa wamejipanga wasijekutoa sababu pindi watakapofungwa.”-Afisa habari wa KMC FC Christina Mwagala.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *