
Klabu ya Namungo Fc ya mkoani Lindi imemtangaza rasmi kocha, Hemed Morocco kutoka Zanzibar kuchukua nafasi ya Hitimana Henry. …
Klabu ya Namungo Fc ya mkoani Lindi imemtangaza rasmi kocha, Hemed Morocco kutoka Zanzibar kuchukua nafasi ya Hitimana Henry.
Morocco anachukua nafasi ya kukiongoza Kikosi cha Namungo FC ambacho kitashiriki michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika.
,
Comments (0)