Posted By Posted On

Kutoka kwa @moodewji It was great catching up with you Gerard Piqué @3gerardpique! Thank you for your guidance on Simba’s deve…

Kutoka kwa @moodewji

It was great catching up with you Gerard Piqué @3gerardpique! Thank you for your guidance on Simba’s development. I look forward to working closely together soon 🙏🏽 #SimbaGoingGlobal 🦁 #NguvuMoja
//
Nimefurahi kupata wasaa leo na wewe Gerard Piqué! Asante kwa ushauri wako kuhusu masuala yatakayo iletea Simba maendeleo. Natumai tutafanya kazi pamoja katika siku za mbeleni karibuni 🙏🏽 #SimbaGoingGlobal 🦁 #NguvuMoja

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *