
LA LIGA 🇪🇦 Saa 5:00 Usiku Osasuna vs Huesca 🎯 Osasuna wametoka kupoteza mechi 2 mfululizo dhidi ya Atletico Madrid na Sevill…
LA LIGA 🇪🇦
Saa 5:00 Usiku
Osasuna vs Huesca
🎯 Osasuna wametoka kupoteza mechi 2 mfululizo dhidi ya Atletico Madrid na Sevilla, wanaenda kucheza na Huesca wanaoshika mkia kwenye La liga baada ya kusare mechi 6 na kufungwa mechi 3.
Osasuna atakubali kupoteza mechi ya 3 mfululizo? Tena akiwa nyumbani?
Pitia @mbet_tz Weka Mkeka upige mipesa. Mpango ni @laliga.
,
Comments (0)