Posted By Posted On

Matokeo ya mechi tatu za leo, Abrahaman Mussa akiibuka shujaa kwenye Dimba la Uhuru kwa kufunga bao moja na kutengeneza mawili, …

Matokeo ya mechi tatu za leo, Abrahaman Mussa akiibuka shujaa kwenye Dimba la Uhuru kwa kufunga bao moja na kutengeneza mawili, wakati kule Dodoma penati mbili zikiamua.

FT: Ruvu 3-0 Mbeya City.

FT: Dodoma Jiji 1-1 Biashara.

#AzamSports1HD #AzamSports2HD #LigiKuuTanzaniaBara #VPLUpd

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *