Posted By Posted On

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Idd Kimanta (Katikati), leo ametembelea Kambi ya Timu ya Taifa U20 “Ngorongoro Heroes” iliyopo Karatu, Ng…

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Idd Kimanta (Katikati), leo ametembelea Kambi ya Timu ya Taifa U20 “Ngorongoro Heroes” iliyopo Karatu, Ngorongoro Heroes ipo Kituo cha Karatu kwenye mashindano ya CECAFA U20 yanayotarajia kuanza Novemba 22-Desemba 2, 2020.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *