Posted By Posted On

Mshambuliaji wa Kimataifa wa Zambia mwenye asili ya DR Congo na Klabu ya Elgouna FC ya Misri amethibitisha kuwa amepata ofa ya k…

Mshambuliaji wa Kimataifa wa Zambia mwenye asili ya DR Congo na Klabu ya Elgouna FC ya Misri amethibitisha kuwa amepata ofa ya kujiunga na miamba ya Soka Barani Africa ,Klabu ya Esperance.

Bwalya amesema amepata ofa mbili mezani,moja ikiwa ni ya kujiunga na Esperance na nyingine Kutoka kwenye Klabu moja ya Kuwait ambayo hajaitaja jina.

Bwalya mwenye umri wa miaka 25 ameifungia Klabu yake ya El Gouna FC Magoli 13 kwenye Michezo 30 ya Ligi Kuu aliyoichezea Klabu tangu ajiunge nayo akitokea Nkana FC.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *