Posted By Posted On

“Nimechoka kila siku kuwa tatizo kwa kila kitu kinachotokea klabuni (FC Barcelona)” – Kauli ya Nyota wa Fc Barcelona, Lionel Me…

“Nimechoka kila siku kuwa tatizo kwa kila kitu kinachotokea klabuni (FC Barcelona)”

– Kauli ya Nyota wa Fc Barcelona, Lionel Messi akionesha kukwazika kwa jina lake kuendelea kutajwa katika kila tatizo linalotokea katika klabu ya FC Barcelona baada ya kuulizwa kama ni kweli maamuzi ya klabu mengi yanafanyika kwa kumsikiliza yeye.

Nahodha huyo wa Fc Barcelona anazidi kukosa furaha ndani ya timu hiyo na kuna taarifa kuwa Manchester City wanatarajia kutuma ofa ya kumsajili katika usajili wa dirisha dogo lijalo.🤔

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *