Posted By Posted On

Photos from YuzoSports’s post

Shirikisho la mpira wa miguu Gabon limeamua kuisaidia klabu ya Bouenguidi SC ya nchini humo kiasi cha dola 45000 (Tsh milioni 104.3), mipira 15 na kocha wa timu ya taifa Patrice Neveu kuisaidia timu hiyo katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika 2020/21 dhidi ya Forest Rangers ya Zambia katika raundi ya awali.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *