Posted By Posted On

SIMBA SC WALIVYOWASILI ARUSHA TAYARI KUWAKABILI COASTAL UNION KESHO SHEIKH AMRI ABEID

Kiungo wa Simba SC, Mzambia Clatous Chama akiteremka kwenye ndege baada ya kuwasili Kilimanjaro kabla ya kupanda basi kwenda Arusha jana kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Coastal Union kesho Uwanja wa Sheikh Amri Abeid 

Beki wa Simba SC, Muivory Coast, Serge wawa baada ya kuwasili Arusha jana kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Coastal Union kesho Uwanja wa Sheikh Amri AbeidKipa Aishi Manula akiteremka kwenye ndege baada ya kuwasili Kilimanjaro kabla ya kupanda basi kwenda Arusha 

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *