Posted By Posted On

“Suala la Mabadiliko ya Uendesheji wa klabu lipo kwenye hatua nzuri na Jumatatu au Jumanne, timu ya watu kutoka Kamati ya Utenda…

“Suala la Mabadiliko ya Uendesheji wa klabu lipo kwenye hatua nzuri na Jumatatu au Jumanne, timu ya watu kutoka Kamati ya Utendaji na wadhamini GSM itaelekea nchini Hispania kuchukua ripoti kamili ya mabadiliko kutoka La Liga na mwanzoni mwa mwezi ujao wakirejea itawekwa hadharani kwa Wanachama,”

– Senzo Mbatha, Mshauri wa @yangasc

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *