Posted By Posted On

Taarifa kutoka Afrika Kusini zinaeleza kuwa timu ya taifa ya Zimbabwe, Eswatini, Comoro na Botswana zimerudishwa nchini mwao na …

Taarifa kutoka Afrika Kusini zinaeleza kuwa timu ya taifa ya Zimbabwe, Eswatini, Comoro na Botswana zimerudishwa nchini mwao na hazitashiriki tena kwenye mashindano ya Cosafau17.
Sababu kubwa ikielezwa kuwa wachezaji wa timu hizo walikosa sifa kufuatia vipimo vya MRI vikionyesha kuwa umri wao ni mkubwa.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *