Posted By Posted On

TP MAZEMBE YANDAA 300M KWA FEI TOTO Afisa mmoja wa TP MAZEMBE anayefahamika kama Patrick Kazembe amesema kuwa TP Mazembe imevut…

TP MAZEMBE YANDAA 300M KWA FEI TOTO

Afisa mmoja wa TP MAZEMBE anayefahamika kama Patrick Kazembe amesema kuwa TP Mazembe imevutiwa na uchezaji wa Feisal na wameandaa milioni 300 kwaajili ya kuvunja mkataba wa nyota huyo ndani ya Yanga,wakiamini kuwa pesa hiyo itawashawishi Yanga kumuachia Nyota huyo.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *