Posted By Posted On

TULISTAHILI KUPATA MATOKEO MECHI MBILI ZILIZOPITA….. … “Mechi mbili zilizopita bado naamini tulipaswa kupata pointi zaidi ya…

TULISTAHILI KUPATA MATOKEO MECHI MBILI ZILIZOPITA…..

“Mechi mbili zilizopita bado naamini tulipaswa kupata pointi zaidi ya hizi tulizopata ukiangalia kama mechi ya Simba wakati wanatushambulia tuliamini kwamba tungepata nafasi.Lakini tulikosa watu bora ambao wangeweza kupiga pasi za kumaliza mchezo. Kama makocha tumeliona hilo na sasa tunataka kutumia makosa hayo kujiongezea uzoefu wa kujipanga zaidi kwa mambo tunayotaka kuyaboresha ndani ya timu yetu.” Alisema kocha ya Yanga sc Cedric Kaze.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *