Posted By Posted On

TUME YA USHINDANI FCC YAMJIBU MO Tume ya ushindani (FCC) imetoa maelekezo kuwa haijakwamisha mchakato wa mabadiliko wa Simba SC…

TUME YA USHINDANI FCC YAMJIBU MO

Tume ya ushindani (FCC) imetoa maelekezo kuwa haijakwamisha mchakato wa mabadiliko wa Simba SC kama ilivyoripotiwa na muwekezaji wao MO Dewji, bali ilisitisha kwa sababu mbalimbali ikiwemo kutaka ufafanuzi kutoka Simba SC ni utaratibu gani wametumia kumpata CEO wa Club.

Juzi kwenye mkutano wa Mohammed Dewji na Waandishi wa habari alisema amekuwa mvumilivu kuhusu suala la mchakato wa mabadiliko na wao kama Simba SC wamekamilisha kila kitu ila FCC ndio bado hawajakamilisha.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *