Posted By Posted On

Baada ya dakika 439 alizocheza kwenye #VPL msimu huu 2020/2021. Mchezaji Bernard Morrison amefunga goli lake la kwanza na rasmi …

Baada ya dakika 439 alizocheza kwenye #VPL msimu huu 2020/2021. Mchezaji Bernard Morrison amefunga goli lake la kwanza na rasmi kwa klabu ya Simba huku akiwa na idadi ya assist mbili ndani ya michezo nane aliyoshuka viwanjani.

Unadhani BM3 ndiyo anatoka gizani hivyo? 👀

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *