Posted By Posted On

Jumla ya Magoli 92??? Wow. Amazing and fantastic striking force. : Huwezi kupata wasiwasi kwanini Simba imeshinda mataji mara ta…

Jumla ya Magoli 92??? Wow. Amazing and fantastic striking force.
:
Huwezi kupata wasiwasi kwanini Simba imeshinda mataji mara tatu mfululizo
:
Kinachosikitisha ni umri wao unazidi kwenda kwa kasi licha ya ubora wao kubaki pale pale
:
Simba SC inapaswa kujiandaa vyema kupata warithi wa hii miamba
:
Nadhani kwa miaka 20 Simba haijawahi kuwa na washambuliaji hatari kama hawa
:
Wote wamewahi kutwaa kiatu cha dhahabu
2012 – John Bocco
2019 – Kagere
2020 – Kagere
#sportskitaa #sportskitaa #sportskitaa #sportskitaa #sportskitaa #sportskitaa #talentonlineTv

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *