Posted By Posted On

Kwa mujibu wa Fabrizio Romano Erling Haaland ameshinda tuzo ya Golden Boy 2020. 2017 Mbappé 🥇 2018 de Ligt 🥇 2019 Joao Felix 🥇…

Kwa mujibu wa Fabrizio Romano Erling Haaland ameshinda tuzo ya Golden Boy 2020.

2017 Mbappé 🥇
2018 de Ligt 🥇
2019 Joao Felix 🥇
2020 Haaland 🥇

Lakini Bado haijatangazwa Rasmi.

Mtambo wa mabao umestahili au Kuna mshindi unae kichwani? Funguka 🙋‍♂️

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *