
– Kylian Mbappé amefunga mabao saba dhidi ya Klabu yake ya zamani, AS Monaco kwenye Ligue 1; Ni dhidi ya Dijon (Magoli 9) ndio a…
– Kylian Mbappé amefunga mabao saba dhidi ya Klabu yake ya zamani, AS Monaco kwenye Ligue 1; Ni dhidi ya Dijon (Magoli 9) ndio ameunga zaidi kwenye ligi kuu ya Ufaransa.
🙌 Baada ya magoli yake mawili hapo jana dhidi ya Klabu yake iliyomlea, Mbappé Sasa amekuwa na mabao 99 akiwa na Jezi ya PSG; Anampita Mshambuliaji wa zamani wa Kimataifa wa Algeria na klabu hoyo, Mustapha Dahleb na Sasa Mbappé ndiye mfungaji bora wa tano wa Paris kwenye mashindano yote kwenye historia yao – Na yupo na klabu tangu 2017 tu 🙌🤔
⚽ Wafungaji Bora wa Muda wote wa PSG.
🇺🇾 Edinson Cavani – 200
🇸🇪 Zlatan Ibrahimović – 156
🇵🇹 Pauleta – 109
🇫🇷 Dominique Rocheteau – 100
🇫🇷 Kylian Mbappé – 99
🇩🇿 Mustapha Dahleb – 98
🇨🇬 François M’Pelé – 95
#KylianMbappe #PSG #Ligue1 #FranceLigue1
@Harunlugoyah
,
Comments (0)