Posted By Posted On

La liga Villarreal vs Real Madrid 🎯 Mechi 3 za mwisho za Villarreal akiwa nyumbani dhidi ya Real Madrid zimeisha sare, Msimu …

La liga

Villarreal vs Real Madrid

🎯 Mechi 3 za mwisho za Villarreal akiwa nyumbani dhidi ya Real Madrid zimeisha sare, Msimu huu Villarreal ameshinda mechi 4 mfululizo za nyumbani.

🎯 Real Madrid amefungwa mechi 2 tu na Villarreal Kati ya mechi 20 za la liga za miaka ya hivi karibuni.

Mechi kati ya Villarreal na Real Madrid ni mechi ya magoli mengi.

Atletico Madrid vs Barcelona

🎯 Atletico ana rekodi ya kutopoteza kwenye mechi 23 za la liga. Msimu huu ana clean sheets 5 kwenye mechi 6 za mwisho.

🎯 Kwenye mechi 11 za la liga za mwisho Kati ya Atletico Madrid na Barcelona, Atletico Madrid ameshinda mechi 1 pekee.

#M9Updates @laliga

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *