Posted By Posted On

-Mabingwa wa Zimbabwe 2019/20 klabu ya FC Platinum wamemfuta kazi kocha mkuu Hendrikus Pieter De Jongh raia wa Uholanzi baada ya…

-Mabingwa wa Zimbabwe 2019/20 klabu ya FC Platinum wamemfuta kazi kocha mkuu Hendrikus Pieter De Jongh raia wa Uholanzi baada ya kukosa sifa za kuiongoza timu hiyo katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa mujibu wa CAF.

-Hendrikus Pieter De Jongh ana leseni A ya ukocha kutoka UEFA lakini ili uiongoze klabu katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika lazima awe na leseni na vibali kutoka CAF na kocha ambaye alikuwa anafundisha soka nje ya Afrika anatakiwa awe na Pro License ili aweze kukaa kwenye benchi kwa timu inayoshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika.

>Platinum unaweza kukutana na Simba raundi ya kwanza Iwapo tu zitashinda michezo yao ya raundi ya awali.

#sportskitaa #sportskitaa #sportskitaa #sportskitaa #sportskitaa #sportskitaa #talentonlineTv

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *