Posted By Posted On

Mshambuliaji wa klabu ya El Gouna FC ya Misri Walter Bwalya amethibitisha kuwa amepokea ofa kutoka kwa miamba ya Tunisia Esperan…

Mshambuliaji wa klabu ya El Gouna FC ya Misri Walter Bwalya amethibitisha kuwa amepokea ofa kutoka kwa miamba ya Tunisia Esperance de Tunis.

“Kuna ofa mbili ambazo tayari zimekuja rasmi, Esperance na moja kutoka Kuwait lakini unatakiwa kuwa makini kweli kufanya maamuzi”-Walter

Bwalya raia wa Congo DR aliyejiunga na El Gouna FC ya Misri akitokea Nkana Red Devils ya Zambia, msimu uliopita akiwa ba El Gouna FC amefunga magoli 13 katika michezo 30.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *