Posted By Posted On

Mtandao wa FARPost wa Afrika Kusini umethibitisha kuwa timu za taifa za vijana za U-17 za Zimbabwe, Eswatini, Comoro na Botswana…

Mtandao wa FARPost wa Afrika Kusini umethibitisha kuwa timu za taifa za vijana za U-17 za Zimbabwe, Eswatini, Comoro na Botswana wameondolewa katika michuano ya COSAFA U-17 kwa sababu ya wachezaji wao kuzidi umri kufutia kipimo cha MRI.

Zambia, Afrika Kusini, Malawi na Angola ndio wemefuzu vipimo vya MRI na sasa ratiba ya michuano hiyo imebadilika na itaanza Jumapili hii, michuano ya COSAFA U-17 itatumika kama michezo ya kufuzu kwa AFCON U-17 2021.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *