Posted By Posted On

Photos from SokaPlace’s post

Wananchi

Kutoka kwa @antonionugaz

Anasema Mpira wa kuvutia ni kesho Uwanja wa Mkapa saa moja Kamili usiku Kwa kwenye mchezo wetu @yangasc dhidi ya Namungo Fc kwa Kiingilio Cha Mzunguko 5,000 na VIP B & C 10,000 na VIP A 15,000 na Royal Class kwa 50,000 (kwa booking ya Royal Class Piga simu +255 784 797 670 )

NB
Uje umependeza Kama huyu Mdada @miss_gaty
unaweza pata Tiketi ya Bure kutoka kwa @sekeli_jr 😄

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *