Posted By Posted On

Photos from YuzoSports’s post

Mshambuliaji wa kimataifa wa Norway na klabu ya Borussia Dortmund, Erling Haaland ametwaa tuzo ya “Golden Boy 2020” tuzo ambayo inaandaliwa na jarida la michezo la nchini Italia (TuttoSport) inayohusisha wachezaji wote wenye umri chini ya miaka 21 na lazima wawe wanacheza ligi za barani Ulaya.

Rekodi ya Haaland kwa mwaka 2020:

Mechi – 29
Magoli – 27
Assist – 6
Amehusika na magoli 33 katika mechi 29 ⚽️🔥

Walioingia tatu bora ya Tuzo hiyo:
1: Erling Haaland
2: Ansu Fati
3: Alphonse Davies

Haaland atakabidhiwa tuzo yake hiyo Desemba 14,2020 jijini Turin Italia.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *