Posted By Posted On

– Rais wa Shirikisho la Soka nchini Ivory Coast ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ, Augustin Sidy Diallo amefariki Dunia hapo jana baada ya kuugua Virusi vya C…

– Rais wa Shirikisho la Soka nchini Ivory Coast ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ, Augustin Sidy Diallo amefariki Dunia hapo jana baada ya kuugua Virusi vya Corona Tangu Novemba 9 Mwaka huu.

– Diallo mwenye umri wa miaka 61 amekuwa kwenye nafasi ya Urais wa Shirikisho hilo la nchi hiyo ya Afrika Magharibi tangu Septemba 2011.
#IvoryCoast #AfricanFootball #COVID19
@Harunlugoyah

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *