Posted By Posted On

Rais wa Shirikisho la Soka nchini Ivory Coast ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ, Augustin Sidy Diallo amefariki Dunia hapo jana baada ya kuugua Virusi vya Cor…

Rais wa Shirikisho la Soka nchini Ivory Coast ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ, Augustin Sidy Diallo amefariki Dunia hapo jana baada ya kuugua Virusi vya Corona Tangu Novemba 9 Mwaka huu.

Diallo (61) amekuwa kwenye nafasi ya Urais wa Shirikisho hilo la nchi hiyo ya Afrika Magharibi tangu Septemba 2011.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *