
Tottenham Hotspur 2-0 Manchester City . 📌Pep Guardiola kwa mara kwanza kwenye rekodi yake ya Ukocha amekusanya pointi chache zai…
Tottenham Hotspur 2-0 Manchester City
.
📌Pep Guardiola kwa mara kwanza kwenye rekodi yake ya Ukocha amekusanya pointi chache zaidi kwenye mechi 8 za kwanza za Ligi
📌Kwa Mara ya pili Mfululizo Jose Mourinho anamfunga Pep Guardiola Kwenye EPL
📌Tangu achukue mikoba Tottenham Hotspur kwa mara ya kwanza Timu hiyo inakaa kileleni.
#M9Updates
,
Comments (0)