
Vijana wa timu ya taifa U20 “Ngorongoro Heroes” wamefanya mazoezi leo jioni kuelekea mchezo wao wa ufunguzi mashindano ya CECAFA…
Vijana wa timu ya taifa U20 “Ngorongoro Heroes” wamefanya mazoezi leo jioni kuelekea mchezo wao wa ufunguzi mashindano ya CECAFA U20 dhidi ya Djibouti kesho.
,
Comments (0)