
#VPL Haya ndiyo matokeo ya mechi tatu za jana, Abrahaman Mussa aliibuka shujaa kwenye Dimba la Uhuru kwa kufunga bao moja na ku…
#VPL
Haya ndiyo matokeo ya mechi tatu za jana, Abrahaman Mussa aliibuka shujaa kwenye Dimba la Uhuru kwa kufunga bao moja na kutengeneza mawili, wakati kule Dodoma penati mbili zikiamua.
FT: Tanzania Prisons 0-0 Mtibwa Sugar
FT: Ruvu 3-0 Mbeya City.
FT: Dodoma Jiji 1-1 Biashara.
,
Comments (0)