Posted By Posted On

#BREAKING Afisa Mhamasishaji na Msemaji wa Yanga Antonio Nugaz, ametozwa faini ya shilingi 500,000, kwa kosa la kufanya mahoji…

#BREAKING

Afisa Mhamasishaji na Msemaji wa Yanga Antonio Nugaz, ametozwa faini ya shilingi 500,000, kwa kosa la kufanya mahojiano na wanahabari ndani ya eneo la kuchezea wakati wa mchezo wa Gwambina FC dhidi ya Yanga ambao ulimalizika kwa suluhu.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *