Posted By Posted On

CARLINHOS YUPO FITI. . Leo Carlinhos atakuwa sehemu ya mchezo dhidi ya Namungo, baada ya Majeraha yalomuweka nje, Kocha Cedric …

CARLINHOS YUPO FITI.
.
Leo Carlinhos atakuwa sehemu ya mchezo dhidi ya Namungo, baada ya Majeraha yalomuweka nje, Kocha Cedric Kaze atamtumia kwa Mara ya kwanza leo.
.
Taarifa hii ni kwa mujibu wa Afisa Habari wa @yangasc ndugu Hassan Bumbuli.

#KitengeUpdates

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *